KUNA WATU
WAMEKUWA WAKITUMIA MITANDAO YA KIJAMII VIBAYA KWA
KUTENGENEZA
ACOUNT FAKE WAKITUMIA MAJINA YA MASTAA MBALIMBALI NCHINI
NA WENGI
WAKIFANYA MAMBO AMBAYO KWA KIASI KIKUBWA YANASHUSHA HADHI NA
STATUS YA
MSANII HUSIKA KAMA VILE KUOMBA FEDHA
,KUTAPELI WATU,KUPOST TAARIFA ZISIZO NA UKWELI N.K,NA MIM
NIKIWA NI MMOJA YA WASANII AMBAO MAJINA YETU YANATUMIWA SANA
NA WATU KUTENGENEZA ACOUNT FAKE,NIMEANZISHA ZOEZI LA KUWEKA
WAZI ACOUNT ZOTE AMBAZO NI FAKE NA SIYO ZA DIAMOND HALISI NA
NINAFUATILIA TARATIBU ZA KISHERIA
ILI
KUWABAINI NA KUWAWAJIBISHA WALE WOTE WANAOTUMIA JINA LA DIAMOND PASIPO
IDHINI YANGUKWA LEO NAANZA NA MTU ANAEJIITA
Diamond
Platnumz Swaqq,UKIKUTANA NA
ACOUNT HII
IEPUKE,SIYO DIAMOND HALISI...PIA KWA YULE ANAYEHITAJI
MAWASILIANO
NAMI YA KIBIASHARA
USITUMIE
FACEBOOK MANAN
NYINGI NI
FAKE,WASILIANA NAMI KUPITIA EMAIL YANGU YA ..diamondplatnumz@gmail.com
AHSANTENI
0 comments:
Post a Comment