
Kupitia kituo cha luninga cha EATV ndani ya kipindi cha Frieday Night Live jana, kuna malalamishi kibao yaliyojitokeza kwa baadhi ya wasanii wa kike waliokuwa wakihojiwa katika kipindi hicho.
Wasanii hao wakike wawili walionekana kukelwa na kushangazwa na kitendo
cha wasanii wa miondoko ya bongo Flava hapa nchini kutojitokeza kabisaa
katika mazishi ya msanii mwenzao
Hussein Sharo milionea aliyepata ajali tarehe 26 majira ya saa mblili...