Blogger Widgets

Wednesday, November 14, 2012

KIPINDI CHA POWER BREAKFAST CHAMZAWADIA MENEJA WA OMMY DIMPOZ TIKETI YA NDEGE....


Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm kimemzawadia Meneja wa Ommy Dimpoz Mubenga Tiketi ya ndege Go and Return kama zawadi yake ya siku yake ya kuzaliwa....Birthday ilifanyikia
New Maisha Club.
Dimpoz,Halima Kimwana & Fetty


Fetty,Mubenga & Alawi Junior
Nicko Track,Dj Zero & Alawi
Dimpoz & Joff




Halima Kimwana akifungua Shampeni



Fetty akiweka mishumaa kwenye Cake....
Kimwana akimwaga Dollar....



Kimwana akikata Cake kwaajili ya zoezi zima la ulishaji wa Cake....
Watoto wa kike walikuwa wakumwaga....
Dimpoz alikuwa mtu wa kwanza kulishwa Cake...
Dimpoz akitoa shukrani zake kwa watu wote walioudhulia....
























Naj,Alawi & Kimwana
Kimwana,Dimpoz & Esma

Esma & Nance (Models)
Nance & Naj

Catheline & Nance

Quick Rocka
Jose Mara


0 comments:

Post a Comment