Blogger Widgets

Saturday, November 3, 2012

CLUB MPYA YA WAANDISHI WA HABARI JBC. YAZINDULIWA RASMI ARUSHA JOURNALISM.


mwenyekiti wa JBC Bw. Mathayo Saruma akitete jambo na mgeni rasmi kabla ya kuingia ukumbini.
Mgeni rasmi akiongozwa mwenyekiti wa JBC kuingia ukumbimbini uku akifuatana na baadhi ya walenzi wa JBC na serikali ya wanafunzi AJTC
mgeni rasmi Mh. JOSEPH MAYAGILA ( katiki mwenye koti la suti leupe) pamoja na mlenzi wa JBC ELIFURAHA SAMBOTO kutoka kushoto pamoja na mwenyekiti wa JBC
serikali ya wanafunzi pamoja na baadhi ya viongozi wa JBC wakiwa katika sehemu yao maalum waliondaliwa kukaa kwa siku hiyo.
wakufunzi wa AJTC
serikali ya wanafunzi wakiwa katika pozi wakisikiza na kautazama kile kitu ambacho kinaendelea kwa umakini kutika kushoto ni Daniel Soine (raisi wa serikali ya wanafunzi AJTC), Yusuf Shabani (katibu serikali ya wanafunzi) na Fidelis Mrina (waziri wa makazi AJTC)
shughuli ilianza kwa vipindi vya nguvu studio, Bi. Viginia Daniel alitusomea taarifa ya habari.
makala nayo ilichukua nafasi yake, Bw. Filberth Ilunde aliipamba vilivyo...
ma MC wakali walisherehee vilivyo, kutoka kushoto Kelvin Lameck a.k.a baba Princy na Shedrack Mgaya a.k.a baba Benny.
baada ya vipindi studio, lilidondoshwa bonge la igizo kutoka kwa wanaJBC.
 TIMU YA AJTC TEOKUENDO NAO WALITOA BURUDANI YAKUTOSHA, Betrice alikua kivutio kikubwa katika mchezo wa teokuendo
Mr. Ndege  ambaye ndio Masta wa Teokuendo AJTC, ambae anawafua vijana vilivyo.

 hii ndio timu nzima ya teokuendo, kutoka kushoto ni Celvin, Robart, Betrice, Mathayo na Hafidhi.
ilifika time Uzinduzi rasmi wa Club ya JBC kufunguliwa rasmi katika chuo cha uandishi wa habari. Ilikuwa ni keki na box rasmi ambalo ndani yake ndio kuna ofisi ya JTC.....
box lilifikishwa mbele ya mgeni rasmi na kukata utepe wakuzindua club hiy ya waandishi wa habari, uku mwenyekiti na katibu wa club hiyo wakishuhudia tukio zima.
kilichokutwa ndani hiki hapa.... katiba ya club hiyo ndio ilikua yakwanza kuonekana na kutolewa kwenye umati wa mashuuda (hawapo pichani) wa tukio zima.
fulana yenye nembo ya JBC club, ilitambulishwa nayo rasmi... Mgeni rasmi aliinunua kwa shilingi 30,000/=
haikuchukua muda mgeni rasmi kuiva fulana hiyo, kuonesha uzalendo wake na JBC club.
wakufunzi nao wanunua fulana hizo kwa bei tofautitofauti.
mmmmmh.... ikafika muda wakukata keki kama ishara ya upendo, mgeni rasmi kwa shilingi 10,000/= aliikata keki hiyo, na mtu wakwanza kula keki hiyo ni mgeni rasmi ambaye alilishwa na makamu mwenyekiti wa JBC.
mgeni rasmi nae alitumia fursa hiyo kuwalisha wakufunzi wote wa AJTC keki hiyo kwa bei tofautitofauti.
dah... Mount Meru class kupitia mwanadarasa wao bw. fidelis Mrina alipata kipande cha keki kutoka kwa Madam Neema.
WAKAGUZI FOUNDATION na wao ilifika time wale keki... Mwakilishi wa faundation hiyo Bw. Samweli Charles (king) alimlisha Madam Neema kwa Sh. 10,000/=
WADOSHO CLASSIC.... kupitia Nahodha wa kundi hilo Bw. Yusuf Shabani (Yusha.. mmiliki wa blog hii ya theHOODinfotainment) alimlisha mlezi wao wa kundi Bw. Andrew Ngobole.
watoto kama hawa, walipewa fursa ya kulishwa keki na Raisi wa Serikali ya wanafunzi AJTC Bw. Danieli Soine (hayupo pichani)
style ya kucheza Kwaito ilibamba vilivyo, wanachama wote wa club ya JBC walicheza kwaito ya nguvu mbele ya mgeni rasmi.
wakufunzi nao uzalendo uliwashinda na kuingia ulingoni na kuskata rumba, wapili kutoka kushoto ni Christian Ndege pamoja na Madam Neema... Chezea madam Neema mbele ya kwaito wewe...!!!
picha za ukumbusho ilifika muda wake... wote hao ni wanachama wa JBC
muda wa chakula nao uliwadia, Mgeni Rasmi alitufungulia dimba....
kugonganisha chupa na glass kwaishara ya upendo na shukrani za kuitikia wito wa Club hiyo,
picha ya pamoja na mgeni rasmi zilipigwa,
wakufunzi wa AJTC, viongozi wa JBC, Viongozi serikali ya wanafunzi AJTCSG na wawakilishi wa vikundi vyote vilivyoko AJTC walipiga picha ya pamoja kama ukumbusho muhimu wasiku hiyo.  


PICHA ZOTE NA. theHOODinfotainment

NA: YUSUF SHABANI.
chama kipya cha waandishi wa habari JBC kimezinduliwa rasmi katika Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha, chama hicho kimeanzishwa rasmi kwa lengo lakuinua na kuendeleza taaluma ya uandishi wa habari kwa waandishi wachanga na kukuza taaluma hiyo pia.
Chama hicho, kina zaidi ya wanachama 70 ambao wote ni wanafunzi na wafanyakazi kutoka media mbalimbali waliotoka chuo cha Uandishi wa habari na Utangazaji Arusha (AJTC). 

Risala iliyosomwa mbele ya mgeni rasmi, iliwasaidia wana wa JBC kupewa Computer 1 na priter moja ambazo zote zimetolewa na mgeni rasmi.

0 comments:

Post a Comment