Blogger Widgets

Monday, November 5, 2012

HUYU NDIYO MISS TANZANIA 2012


 Brigitte Alfred akiwa na furaha baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndiye mshindi wa  miss Tanzania 2012  jana katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
 Mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati)katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester, Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni wakati, Eugene Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa, Edda ni Miss Kigamboni na Kanda ya Temeke.


Waendesha shughuli Jokate pamoja na Taji Liundi.

Credit to Mrokim kwa kupiga picha hizi.

0 comments:

Post a Comment