Mjukuu wake aitwaye Omar ameiambia Bongo5 kwa simu muda mfupi
uliopita kuwa Bi. Kidude alikuwa amelazwa kwa muda mrefu kutokana na
kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe kwenye kongosho.
“Kwa ufupi alilazwa kipindi kirefu na baadaye akatolewa, lakini baadaye
akaja kuendelea kuumwa tena tukampeleka hospitali tukawa tunampeleka
kwenda na kurudi hapa juzi akaanza kuzidiwa tena tukampeleka hospitali
moja inaitwa Keeni (???) Kwaajili ya matibabu zaidi na drip na vitu
vingine lakini baadaye baada ya siku ya tatu mwenyezi Mungu akachukua
roho yake,” amesema Omar.
0 comments:
Post a Comment