Wazazi wawili nchini uingereza wameshtakiwa kwa kosa la kumpaka mtoto
wao Chocolate usoni na kisha kumpiga picha na kuiweka picha hiyo katika
mtandao wa Twitter. Dakika chache baada ya kuiweka picha hiyo Mtandaoni
watu wengi waliRT. Na haya ni baadhi ya maoni ya watu walioyatoa
kuhusiana na picha hiyo
HII NDIO PICHA YA MTOTO,PEMBENI NI BALOTELI |
Matt Bishop, wrote: “Jesus wept, who does this to their child!?!?!?!?”
Mwingine alisema hivi “Parents tweeted ghastly picture of baby dressed as Mario Balotelli, this must be child abuse.” nao watetea haki za watoto hawakua nyuma, mmoja wao alitoa maoni haya “Just looking at this picture makes me very uncomfortable, especially the fact the child is blacked up. I don't like it at all.”
0 comments:
Post a Comment