Huyu ni mwanaume mtu mzima ambaye hujipiga picha chafu za uchi na kuzituma kwa warembo ili awanase kimapenzi......
Mtandao huu umefanikiwa kuzinasa picha 6 za Mwanaume huyu aliyetambuliwa kwa jina la Moses Kadey ....
Kati ya picha hizo, 5 yuko mtupu akijinadi na moja kavaa kikazi.
Akiongea
na mtandao huu, mmoja wa wasichana hao amedai kuwa jamaa huyo
amekuwa akizituma picha hizo kwa warembo saba ambao kwa bahati
nzuri au mbaya ni MARAFIKI.
"Huyu
mtu anaitwa Mosses Kadey amekuwa anatutumia mipicha ya ajabu eti
anatutongoza mimi na rafiki zangu karibia 7 wote anatutumia mipicha kama
hii au mbya zaidi hata kuonyesha aibu jamani akome"....Alifunguka
mrembo mmoja mbele ya mpekuzi wetu
Tunawapongeza warembo hao kwa uamuzi wao wa busara wa KUMKIMBIA FATAKI HUYU
Hii
ni mara ya kwanza kushuhudia mwanaume akimtongoza binti kwa
kutumia picha za uchi.....Kama ni mzuri ni mzuri tu......
Ni vyema jamii ikajifunza kutokana na matukio.Mapenzi ya picha za uchi ni sumu na ni aibu ya milele....
Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/2013/03/mwanaume-anayetumia-picha-zake-za-uchi.html#ixzz2O28pJdBm
0 comments:
Post a Comment