Tweet hii iliyosambaa inaonekana akiwa ameandika Nigeria ni nchi mbaya ndio maana alikua ana hamu ya kuondoka kwenye nchi hiyo mapema baada ya kumaliza kazi, na anakubali kwamba wanawake wa nchi hiyo wanafanana na nyani.
Hii
ndio tweet feki, ufeki wake unakuja kwa huo mstari hapo juu
unaotenganisha namba za followers na tweet, hizi ni picha zimeunganishwa
manake pia hiyo sehemu fans waliyoretweet isingeonekana kirahisi,
tazama muonekano kama huu hapa chini, kama kweli ingekua katweet yeye
ingeonekana kama hapa chini inavyoonekana.
.
.
0 comments:
Post a Comment