Blogger Widgets

Monday, March 18, 2013

EMBU ANGALIA PICHA HIZI ZAIDI YA 45 ZA DIAMOND ALIVOKINUKISHA MUSOMA....!!(huyu jamaa ni noumer)

 

"Napenda kuchukua nafasi hii....kuwashukuru mashabiki zangu nchini kote
na hata nje ya nchi na shukrani kubwa zimwende Mwennyezi mungu...
muhumba mbingu na nchi kwa kunifikisha hapa nilipo....
Napenda kuwashukuru pia mashabiki wangu wa kanda ya ziwa
,wilayani Musoma kwa mapokezi mazuri kwenye ujio wangu,
Kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya  Musoma Tarehe 16.3.2013" maneno ya mtu mzima Diamond alichokisema baada ya kuperfom Musoma
Dumi utamu.....Rama Mpauka & Emma Platnum

Taratibu Mdogo mdogo Wachafu tukikaiamsha....!!






Mashabiki zangu awakuwa nyuma kupata picha za ukumbusho...

Si ndo Amsha Amsha Popo ikahanza.......



Hapo.........Ladies & Gentleman Sing wote.....





Hisia unichukua kunipeleka mbali.......Mashetani ya kimanyema
si ndo yakaanza  kupanda....







Ni kukiamsha tu na mawazo mpaka kesho....tukimaliza
ni kulewa tuu....!!




Tuendele ama tusiendele.....!!?? 







0 comments:

Post a Comment