President
Jakaya Kikwete amesema Serikali itaendelea kuboresha utoaji wa mikopo
kwa Wanafunzi ambapo kwa mwaka huu wa fedha, zimetengwa bilioni 345 kwa
ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi elfu 98 na mia 772 wa elimu ya juu
kote Tanzania.
Hii kauli ameitoa akiwa
Morogoro kwenye uzinduzi wa jengo kwenye chuo kikuu cha Kiislamu ambapo
kwenye sentensi nyingine, President alisema mikopo iliyotolewa kwa
wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2005 ni bilioni 56 na kusisitiza kwamba
bodi ya mikopo Tanzania inatakiwa kufatilia wahitimu wa vyuo vikuu
walipe deni ili wengine wasaidiwe.
0 comments:
Post a Comment