Kanye West na Kim Kardashian
Rais
Obama hajali ushawishi walionao celebrities kwa vijana wa leo. Katika
mahojiano ya hivi karibuni na Amazon.com,Obama alisema ushawishi
mbaya kama vile wa Kim Kardashian na Kanye West haukuweza kumvuruga
kiasi cha kutotekeleza azima yake yandoto ya Marekani aliyokuwa nayo tangu utotoni.
Rais Obama
‘American
Dream’ ilihusisha vitu vya msingi ni pamoja na kazi nzuri ambapo
watasikia hali ya usalama. Elimu bora ... Watu walidhani kama wakifanya
kazi kwa bidii watafika huko.... sidhani kama watu huwa wanajiambia,
'Nahitaji kuwa na nyumba ya miraba 10,000'.... Nadhani, pia kumekuwa na
mabadiliko katika utamaduni. Sisi hatukuwekewa mambo wazi
kama watoto wa siku hizi. Hakukuwa na dirisha katika maisha ya
matajiri na maarufu. Watoto walikuwa hawafuatilii kila siku nini Kim
Kardashian alikuwa amevaa au Kanye West anaenda wapi likizo na kufikiri
kwamba kwa namna fulani hiyo ilikuwa ni alama ya mafanikio.
' Alisema rais Obama.
0 comments:
Post a Comment