Msafara
wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia
morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika
mapokezi hayo jioni ya leo
PICHA JUMAMTANDA
MSAFARA WA MAFARI BARABARA ENEO LA MKAMBARANI ULIKUWA HIVI.
HAPA MKAMBARANI, KULIA NI BASI LA BM LIKIVURUGA MSAFARA HUO.
MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.
BASI LA
ABOOS AMBALO LILIWABEBA WASANII WA FANI MBALIMBALI, HAPA LIKIWA MIKESE
WAKISUBIRI MSAFARA WA ULIOBEBA MWILI WA MANGWEA.
0 comments:
Post a Comment