Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni kada wa CHADEMA
amelimwa shoka la mgongoni na watu wanaodaiwa kuwa ni walinzi wa CCM
wakati wa harakati za kampeni za uchaguzi wa udiwani huko
Arusha..
Mtu huyo aliyefahamika kwa jina moja la Amos
amelazwa katika hospitali ya Mount Metu mkoani humo...
Mtandao huu unaendelea kufuatilia chanzo halisi
na undani wa tukio hilo
KWA HISANI YA shiladeux.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment