Marehemu Magwair
mwigizaji na mwanamuziki UNAPOONGELEA moja kati ya filamu bora ni filamu ya Copy
iliyotwaha tuzo tano, leo tunaongelea filamu hiyo ikiwa ni katika kumuenzi
mwanamuziki na mwigizaji wa filamu Bongo Albert Mangweha ‘Ngwair’ aliyefariki
nchini Afrika ya kusini, na kuzikwa siku ya alhamisi mkoani Morogoro katika
makaburi ya Kihonda.
Ngwair enzi mwigizaji
aliyeshiriki filamu ya Copy.
Msanii
huyu pamoja na kuvuma sana katika muziki wa kizazi kipya lakini pia alikuwa
mahiri katika uigizaji wa filamu lakini si watu wengi wanalijua hilo Mangweha
alishiriki katika filamu ya Copy iliyoshinda tuzo tano zilizoandaliwa na kampuni
ya One Game Promotion ya Jijini Dar es Salaam.Baada ya kufanya vizuri katika filamu ya Copy niliwahi
kuongea na mpiga wa filamu hiyo kuhusu marehemu Mangweha kutokana na umahiri
alionyesha katika filamu ya Copy, kwani hakupenda kushiriki katika zingine mara
kwa mara pamoja na watayarishaji wa filamu hiyo kummwagia sifa kuwa ni mwigizaji
mwenye uwezo mkubwa tofauti na msanii yoyote unayemjua, naye
alisema.
.
.
Kelvin mtunzi na
muongozaji wa filamu ya Copy.
“Najua
kama nina uwezo wa kuigiza lakini najali sana taaluma na kuheshimu kazi ya mtu
mwingine sipendi kushiriki kila filamu kutokana na hadithi husika, lazima nisome
Script na kuielewa kama ni nzuri hilo ndio lilotokea katika filamu ya Copy
niliipenda story yake ilikuwa nzuri na ya kuvutia,”alimnukuu Rashid
Mrutu.Mangweha atakumbuka sana katika
tasnia ya filamu kwani inaaminika kuwa filamu ya Copy aliyoigiza akiwa kama
mwigizaji msaidizi akiwa na Kelvin ambaye ni kinara wa filamu hiyo mchango wake
ulisaidia filamu hiyo kushinda tuzo tano na kuwa filamu bora kwa 2007/ 2008 kama
mshindi wa jumla baada ya kushinda tuzo nyingi.
.
.
Ngwair katika pozi la
picha.
Rashid Mrutu mpiga
picha mahiri aliyerekodi filamu ya Copy
“Mangweha ni zaidi ya msanii wa filamu, mara nyingi
unapomshirikisha katika filamu msanii ambaye hajawahi kuigiza na kumpa nafasi
kubwa kazi huwa ngumu na kuchosha lakini, Mangweha hatukuwa na muda wa kurudi
scene, kwani alishika script vema na hakukosea wala kuongeza maneno ambayo
hayakuwepo katika script,”anasema mtunzi wa filamu hiyo ya Copy
Kelvin.Rashid Mrutu ambaye alikuwa
mhariri na mpiga picha wa filamu hiyo amesema kuwa Mangweha alivaa uhusika
katika filamu hiyo na kumfanya mshiriki mwenzie ambaye ni Kelvin kuigiza kwa
hisia zaidi na kuifanya kazi hiyo kuwa bora na kuibuka mshindi hizo tuzo
tano.
.
.
Kelvin akiwa na mkewe
nikita wakipokea moja ya tuzo za Vinara.
“Albert ni mwigizaji wa aina yake katika waigizaji
ambao wanamuziki niliofanya nao kazi za filamu hakuna kama yeye, naamini kabisa
kama angeamua kuingia moja kwa moja katika filamu basi angewafunika wasanii
nyota, kwani anatii muongozaji na kufuata script huku akivaa uhusika,”anasema
Mrutu.
Mangweha katika filamu ya Copy aliigiza kama rafiki wa Kelvin ambaye alikuwa mchumba wa Janeth (Elizabeth Chijumba), akipata upinzani kutoka kwa mwigizaji Richie Richie ambaye kutokana na fedha anamtaka Janeth bila mafanikio na kujikuta akitumia nguvu za giza ili ampate Janeth anayempenda Kelvin rafiki wa Mangweha.
Katika filamu hiyo JB ameigiza kama baba yake mzazi wa Janeth ambaye pia anamtaka Ritchie na si Kelvin kwa sababu anahisi kuwa hana fedha na mwanaye asingependa aolewa na maskini mtafaruku unaanzia hapo na kuingia nguvu za giza.
Pamoja na kukutana na nyota wa filamu Bongo kama vile JB, Mzee Olotu, Mama Njaidi, Kelvin, Single Mtambalike, Aunt Fifi, Muhogo Mchungu, lakini ngweiar alionyesha uwezo mkubwa na kuwa kivutio kwa wasanii hao ambao walitamani kumshirikisha katika filamu zao lakini kutokana na msimamo wake ilikuwa ngumu.
Katika filamu ya Copy msanii mwingine kutoka kundi la Chemba Squad ambaye naye alishiriki katika filamu hiyo kama mlinzi wa kimasai alikuwa ni Dack Master, ambaye naye alionyesha umahiri katika nafasi hiyo hata baadhi ya watu kuwashawishi kama muziki wakiona unawasumbua basi waigie katika uandaaji wa filamu na kuwashirikisha wanachemba wote.
Jambo lilojitokeza ni toka siku iliyotokea kifo cha msanii huyo tarehe 28 mwezi May mwaka huu, nakala ya filamu hiyo imetafutwa katika maduka maarufu ya uuzaji wa filamu haipatikani, awali ilikuwa ikisambazwa na kampuni ya Kapico baadae iliuzwa na kampuni ya Steps ambao wamesimama kuizalisha.Filamu ya Copy ilinyakua tuzo ya kuwa filamu bora ya mwaka 2007-2008, katika shindano la tuzo za vinara wa filamu Tanzania Katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Marehemu Ngwair enzi
za uhai wake.
Filamu hiyo ilinyakua
tuzo tano kupitia kwa Khalfan Ahmed ‘Kelvin’ aliyenyakua tuzo mbili za Mtunzi
bora na Muongozaji Bora, Rashid Mrutu aliyenyakuwa tuzo mbili za mpiga picha
Bora na Mhariri Bora na Elizaberth Chijumba ambeye alinyakuwa tuzo ya kuwa
Mwigizaji bora wa Kike.
Tasnia ya filamu na muziki imepoteza msanii muhimu wakati filamu na muziki zikielekea katika urasimishaji na kuwa sekta rasmi, pengine inawezekana wasanii wakajikomboa baad
Tasnia ya filamu na muziki imepoteza msanii muhimu wakati filamu na muziki zikielekea katika urasimishaji na kuwa sekta rasmi, pengine inawezekana wasanii wakajikomboa baad
0 comments:
Post a Comment