
MSANII anayeshikilia nafasi ya juu kwa sasa kwenye muziki wa kizazi kipya Tanzania Nasseb Abdul ‘Diamond’, inasemekana kuwa ameamua kutoa ya moyoni juu ya Wema Sepetu katika ngoma yake mpya ya ‘Nataka Kulewa’,
ambayo imezungumzia matukio yote yaliyomkuta alipokuwa na mwanadada
huyo na mengine ambayo yalikuwa yanazungumzwa...