Blogger Widgets

Tuesday, October 30, 2012

TAMKO KUTOKA CHAMA CHA WANANCHI(CUF):SERIKALI INAUKUZA MGOGORO ULIOPO BADALA YA KUUDHIBITI


   Mkurugenzi wa Haki za Binadamu CUF Salim Bimani akifafanua jambo kupitia Katiba katika mkutano wake wa kupinga matumizi mabaya ya Operesheni inayofanywa na Jeshi la Polisi na Vikosi vya SMZ kuwatafuta wavunjifu wa amani.
  Baba wa Marehemu Hamad Ali Kaimu ambaye mwanawe alifariki kutokana na kudaiwa kupigwa vibaya na vikosi vya ulinzi na Usalama akitoa maelezo kuhusu mauaji ya mwanawe
   Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakifuatilia kwa makini taarifa ya Chama cha CUF iliyotolewa na Mkurugenzi wa Haki za Binadamu CUF Salim Bimani kuhusu kupinga matumizi mabaya ya Operesheni inayofanywa na Jeshi la Polisi na Vikosi vya SMZ kuwatafuta wavunjifu wa amani.
  Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakifuatilia kwa makini taarifa ya Chama cha CUF iliyotolewa na Mkurugenzi wa Haki za Binadamu CUF Salim Bimani kuhusu kupinga matumizi mabaya ya Operesheni inayofanywa na Jeshi la Polisi na Vikosi vya SMZ kuwatafuta wavunjifu wa amani.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

0 comments:

Post a Comment