Blogger Widgets

Sunday, October 14, 2012

Ujamaa Haukushindwa, Bali Haukujaribiwa!

 Mwalimu Nyerere akiwa na Mzee Jomo Kenyatta enzi za uhai wao.


 LEO Jumapili, Oktoba 14, 2012 Watanzania wanaadhimisha miaka 13 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 
Hata hivyo, kama kuna kitu ambacho Mwalimu Nyerere alikiabudu – mbali ya Mungu kupitia katika imani yake ya Kikatoliki – ni Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyozaliwa ndani ya Azimio la Arusha, ambayo aliendelea kuihubiri na kuitetea kwa nguvu zake zote hadi kikomo cha uhai wake. 
Kila alikokwenda daima alitembea na Biblia pamoja na Azimio la Arusha, akiamini kwamba misingi ambayo TANU iliiweka kwenye azimio hilo Februari 5, 1967 pale Arusha ilikuwa mizuri na ingeendelea kuwa mizuri ikiwa tu Watanzania wangemwelewa dhamira yake. endelea zaidi.../www.kwanzajamii.com/?p=4020

0 comments:

Post a Comment