Blogger Widgets

Saturday, October 6, 2012

Mhe. Joshua Nassary Awaasa Wanafunzi Wa Kidato Cha Nne

Mhe. Joshua Nassary Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaasa wanafunzi (wa kidato cha nne ,Nshupu Sekondari) kusoma kwa bidii ili kukabiliana na ajira adimu za Ki-Tanzania katika eneo la Ziwa Duluti ,Arumeru Arusha leo -6 oct 2012,walipokuwa wakijipongeza kabla ya kuanza kwa mitihani yao wiki ijayo.

0 comments:

Post a Comment