Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Friday, August 31, 2012

HII NI MAALUM KWA MASHABIKI WA CHELSEA TU.

Posted: 31st August 2012 by Yusha  Hizi ni picha za wachezaji wa Chelsea wakiwa mazoezini kujiandaa na mechi yao ya leo na Atletico Madrid kwenye UEFA Super Cup, timu ambayo Fernando Torres aliwahi kuichezea kabla ya kujiunga na Liverpool 2007 na anasema ndio club pekee anayoizimia sana duniani. . Eden Hazard. . Kipa Petr Cech. . ...

'Campus Divas For Rich Men’ kundi la Facebook wanapouzwa wanachuo wa Kenya

Jane 18 has just finished high school and will be joining UoN she wants a rich dude who is willing to pay her half % school fees “Sisi madiva tuna gharama, NYWELE, zinataka dawa! MASIKIO yanataka,hereni!! MACHO yanataka wanja na shadow! PUA inatka kipini! MDOMO, unatka lipstic! USO unataka poda na foundation! SHINGO inataka cheni! MATITI yanataka sidiria! MIKONO inataka Bangali! VIDOLE vinataka, Pete! KIUNO kinataka shanga. MA***KO yanataka...

MWANAUME NA MWANAMKE WAFUPI DUNIANI WAKUTANA

Kwa mara ya kwanza katika historia, Mwanaume mfupi na mwanamke mfupi duniani wamekutana, Mwanaume mfupi anayeitwa Chandra Bahadur Dangi mwenye miaka 72 anatokea Nepal anaurefu wa inchi 21.5 na Mwanamke mwenye miaka 18 Jyoti Amge anatokea Nagpur India anaurefu wa ichi 25.Ilikuwa ni katika kupiga picha kwa ajili ya promo ya maandalizi ya kitabu cha Guiness World Records kitakachotoka Septemba 201...

Tuesday, August 28, 2012

HIVI UMESIKIA ALICHOSEMA T.I.D KUHUSU TAARIFA ZA KUTAKA KUMUUA ALLY KIBA? HII NDIO STORI YENYEWE.

Posted: 29th August 2012 by yusha Ally Kiba na T.I.D Kwenye U heard ya XXL Clouds Fm august 28 2012 Gossip Cop Soudy Brown ameripoti kwamba kuna mwanamke aliekamatwa na Polisi na kuhojiwa kwa saa nane wakati akiwa kwenye mipango ya kumuua msanii wa bongo fleva Ally kiba. Baada ya kuhojiwa na polisi kwa saa nane, mwanamke huyo alikiri kwamba alitumwa na T.I.D kwenda kumuua Ally Kiba. Alipohojiwa na Soudy Brown, T.I.D amesema...

Monday, August 27, 2012

JINSI MASHEHE WALIVYOKWEPA KUHESABIWA KWENYE SENSA.

Posted: 28th August 2012 by yusha Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ramadhani Maneno wa pili kutoka kulia. Zoezi la sensa ya watu na makazi kwenye mkoa wa Kigoma lilipata ugumu kutokana na waumini wa dini ya kiislamu wanaopinga kuhesabiwa kukimbilia misikitini hivyo kutofikiwa na makarani waandikishaji. Mkuu wa wilaya Kigoma Ramadhani Maneno amesema kwenye pitapita yao kufanya tathmini wamekutana na ugumu huo na tayari wameanza kuufanyia...

HIVI NDIVYO SERENGETI FIESTA 2012 TANGA ILIVYOKUA.

Posted: 28th August 2012 by yusha . B12 mkali wa XXL ya CLOUDS FM ndio alihost show akishirikiana na Adam Mchomvu. Adam Mchomvu, mkali mwingine wa XXL aliehost show fresshhhh kabisa. Nuru akiwa kazini. . . . Recho nae alifanya poa sana.. kuna video yake hapo chini jinsi alivyovionyesha viuno pamoja na dancers wake. . . Stamina kama kawa. Dancers wa THT, ukali wao unaweza kuuona kwenye video...

MSIMAMO MPYA WA SAMUEL ETOO KUHUSU TIMU YAKE YA TAIFA.

Posted: 28th August 2012 by yusha  Mwandishi Shaffih Dauda wa shaffihdaud.com ameripoti kwamba mchezaji Samuel Eto’o  amekataa kuichezea Cameroon katika kutekeleza mgomo wake dhidi ya kile alichokiita mpangilio mbovu na mazingira yasioeleweka katika kikosi cha timu ya taifa. Etoo alikuwa kwenye kikosi cha Cameroon kwa ajili ya kupambana na Carpe Verde katika michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika September...

Nape Aikomalia Chadema, Akataa Kuomba Radhi

Akataa kuomba radhi, asema tuhuma atazithibitisha mahakamani, Amtaka Dk. Slaa kuandaa bilioni 3 na shilingi moja. Ni kwa kudai CCM inaingiza silaha nchini. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye amewataka Chadema kwenda mahakamani haraka badala ya kusubiri kuombwa radhi kama walivyotaka ili kusafishwa dhidi ya madai ya chama chao kupewa mabilioni ya fedha na mataifa tajiri. Aidha amemtaka Katibu...

Sunday, August 26, 2012

CLINIC YA BASKETBALL YA HASHEEM THABIT NA LUOL DENG

Adam Mchomvu ndio alikua Mc   ...

Saturday, August 25, 2012

SHERIA MPYA YA VYOO VYA UMMA CHINA: NZI WASIZIDI WAWILI

Sheria hiyo inakataza choo kuwa na zaidi ya nzi wawili kwa wakati mmoja.Sheria hiyo iliyowekwa na halmashauri ya mannispaa ya jiji la Beijing inalenga kuhakikisha hali ya usafi katika vyoo vinavyotumiwa na jamii. Hata hivyo haijawekwa wazi ni hatua gani zitachukuliwa iwapo nzi wa watu atakutwa chooni. Sheria nyingine ni kuhakikisha vyoo vinasafishwa kila mara na matumizi ya vifaa vyakisasa na mafunzo ya kutosha kwa watu wanaovitazama...