Blogger Widgets

Sunday, August 19, 2012

Huyu ndiye Mtanzania anaeishi Ujerumani pia ni Mwanamuziki wa nyimbo za Injili anaitwa Godlove Muliahela


Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na ma producer wake
Godlove Muliahela akiwa anafanya Shooting ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.
Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa Video, Hapa ni Full Ki Dutch
Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka Mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting

0 comments:

Post a Comment