Blogger Widgets

Thursday, August 16, 2012

MECHI YA KWANZA YA ROBIN VAN PERSIE MANCHESTER UNITED!

Posted: 16th August 2012 by yusha shabani
.
.
Kwa mujibu wa gazeti la Uingereza The Sun pamoja na taarifa kutoka Manchester United, kocha wa club hiyo sir Alex Ferguson anajiamini na kuwa na uhakika kwamba Robin van Persie atacheza mechi yake ya kwanza akiwa na Man U dhidi ya Everton jumatatu ijayo baada ya Arsenal na Man U kukubaliana jana usiku kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo.

0 comments:

Post a Comment