Blogger Widgets

Sunday, August 12, 2012

FAINALI YA MASHINDANO YA DANCE MIA MIA YALIYOFANYIKA JANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB


Vimwana wa kundi pekee la akinadada la Tanzania Queens wakishambulia wakati fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.  
TZ Queens
Tanzania Queens wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.
Kazi inaendelea kwa TZ Queens
TZ Queens mzigoni
TZ Queens
TZ Queens 
  Kundi la Best Friends likifanya mambo wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.PICHA ZOTE: AMUR HASSAN.

0 comments:

Post a Comment