Blogger Widgets

Thursday, August 9, 2012

BRAND NEW FLAVOR VIDEO YA STOPA KUTOKA ALBUM YA “HAPA NILIPO”


Mkali wa Hip Hop kutoka A Town honcho Stopa The Rhymecca A.city born Bad News a.k.a Yokoi amekamilisha video yake ya ngoma ya “New Flavor” Audio ambayo ilitengenezwa Mwanza ndani ya Studio za Mo Recs chini ya producer Q. Video hiyo iliyotengenezwa na Director kutoka Nigeria anaefahamika kwa jina Jeanbro inategemewa kuanza kuonekana katika vituo mbalimbali vya televisheni na blogs mbalimbali ikiwemo blog hii ya www.yushathehood.blogspot.com.

0 comments:

Post a Comment