Blogger Widgets

Monday, August 13, 2012

PICHA 3 ZA GARI JIPYA LA JUA CALI WA KENYA.

Posted: 12th August 2012 by yusha shabani
.
.
.
Staa wa muziki wa Genge Kenya Jua Cali ijumaa iliyopita amepata nafasi kubwa kwenye headlines Kenya baada ya kusambaa kwa picha za gari lake jipya alilonunua aina ya Chrysler crossfire ya 2005 ambalo lina wiki nne tu toka limefika Kenya according to kenyan-post.com
Mwishoni mwa mwaka jana Jua Cali. Alisema mikataba ya makampuni mawili ya simu nchini Kenya aliyofanya nayo kazi kwa  nyakati tofauti ndio iliyombadilishia maisha yake kiuchumi, kwa kumpa uwezo wa kujenga nyumba ya gorofa, kuinvest kwenye studio pamoja na hela nyingine ndefu kubaki mfukoni.
Jua Cali ambae alikiri kupunguza safari za kupita katikati ya Nairobi kutokana na tishio la mabomu ya Al Shabab, alikua anamiliki gari aina ya Noah

0 comments:

Post a Comment