Blogger Widgets

Friday, August 10, 2012

HARAMBEE YA M4C CHADEMA YA RINDIMA DAR HIVI PUNDE.


hivi punde harembee ya kuchangia M4C (movement for change) kwa chama cha CHADEMA yamalizika hivi punde katika jiji la Dar_es_salaam katika hotel ya Serena ikiwa na harakati endelevu za nchi nzima, Kiwango walichokipata ni zaidi ya shilingi milioni 200 ikiwa taslim walizopata muda huo ni shilingi milioni 70. Shilingi milioni 500 ndio zinazohitajika katika kipindi chote cha miezi 18 iliyobaki.
  KESHO KUPITIA BLOG HII NITAKULETEA HABARI KAMILI NA PICHA ZA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA. HAVE A NICE NITE.

0 comments:

Post a Comment