Blogger Widgets

Thursday, August 9, 2012

EMINEM NA PINK PAMOJA KWENYE “HERE COMES THE WEEKEND”



Mwanahip hop duniani mkali wa Im not afraid Mkali wa pop duniani mwanadadiva Pink wameungana pamoja na kugonga bonge la track. Slim Shady ameshirikishwa kwenye ngoma inaitwa “Here Comes the Weekend” ana altenartive club banger kutoka kwenye album inayotegemewa kutoka ya “The Truth About Love” ambayo inatarajiwa kutoka Septemba 18. Eminem alikua akipiga stories na BBC Radio 1 akasema anaheshimu  anachokifanya Pink.
Kama unakumbuka wakali hawa walishagonga ngoma inaitwa “ Won’t Back Down”  kutoka kwenye album ya Eminem ya 2010 “Recovery”.

0 comments:

Post a Comment