Blogger Widgets

Tuesday, August 7, 2012

HIZI NDIO PICHA ZA AJALI YA NAIBU WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI


Posted: 7th August 2012 by yusha shabani
.
.
.
(Picha zimepigwa na francisgodwin.blogspot.com)
Naibu waziri  Abdullah Juma Saddallah amepata ajali ya gari alilokua akisafiria kwenye eneo la Kongowe Kibaha Pwani akitokea Dodoma kuja Dar es salaam.
Hiyo ajali imetokea leo jioni ambapo Naibu waziri amesema hali yake sio mbaya sana ila dereva ndio ameumia kiasi, bado wanapata matibabu kwenye hospitali ya Tumbi Kibaha Pwani,  chanzo cha ajali amesema ni baada ya dereva wake kukwepa lori lakini hakufanikiwa na gari ikatoka nje ya barabara.

0 comments:

Post a Comment