Nimeipata hii toka power breakfast,chanzo kikiwa gazeti la mtanzania
ukurasa 1-3.chuo hicho kinasemekana kujengwa katika kisiwa cha
ukerewe!baadhi ya mafunzo yanayotolewa chuoni hapo ni pamoja na
kung'fu,karate,na kutumia majambia!chuo kina watu wa rika
mbalimbali,watoto,vijana na watu wazima!inasadikiwa chuo hicho
kinafadhiliwa na kikundi cha kigaidi alquaeeda chini ya dini moja
ambayo haijatajwa!wageni wanaofika chuoni hapo wanaonekana wa kutisha,na
hufika na mizigo ya kanzu majambia etc!waliopo karibu na gazeti hilo
jisomeeni!KAZI IMEANZA!
chanzo:jamiiforum/jukwaa la siasa
0 comments:
Post a Comment