Siku
za hivi karibuni kumekuwepo na katizo la umeme la mara kwa mara katika
maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam (hatuna uhakika mikoa mingine
mambo yakoje) kiasi cha kuathiri shughuli nyingi za kiuchumi.
Kufuatia tabia hiyo ya Tanesco kufanya yao kila siku na kuwaweka
wajasiriamali wanaotegemea umeme kwenye mawe, mtangazaji wa kipindi ca
Mkasi, Salama Jabir, ameamua kuzipunguza hasira zake kwenye Twitter kwa
kuandika:
Kazi inabidi ziende jamani…The f**k is wrong na hii nchi?!Umeme
tu?????!Shida isotatulika miaka nenda rudi?!Tunachoshaaaana. F**k that
shit!! Taarifa hakuna…kuunguziana mali tu,kulipa hamlipi,kauli nzuri
hamna!! Who does that?! Well..Mnatufunza sana,Asanteni!!
Watu wakiamua kuishi nje serikali inalalamika Ooh vijana hawana
upendo na nchi yao!!Utapendaje nchi inayokurudisha nyuma? What the
f**k?! Well KZMZ!!! Alosema bora mthamini mbwa naona hakuwa mbali na
Ukweli..Ki ukweli misemo ya wahenga yote ni ukweli mtupu, again…KZMZ.
Nimejipigapiga mwenyewe nikanunua kaTV ka kitundika ukutani kama tunazoziona kwenye TV mkaunguza,nikarudisha dukani watengeneze.
0 comments:
Post a Comment