![]() |
Birdman |

*Meno/grills hizi hazitoki milele
*Zimewekwa baada ya kubadili/kuondoa muundo wa meno yake halisi kwa sehemu ya mbele
*Gharama ya insurance yake ni dola 780,000/-
*Gharama yake halisi ni dola 500,000 zaidi ya shilingi milioni 807 za Tanzania.
*Meno haya humlazimu kutumia dawa maalum kuyasafisha tofauti na dawa nyingine za meno za kawaida.
On the other hand, Weezy pia ana meno kama haya lakini ya kwake ni Almasi.
*Thamani yake ni dola 150,000 zaidi ya shilingi milioni 242 za kitanzania.
#Jumla ya pesa ambayo mastaa hawa kwa pamoja wamewekeza katika kushine mdomoni ni dola 650,000/- sawa na zaidi ya shilingi bilioni 1 za kitanzania.
![]() |
Lil Wayne na Birdman |