Blogger Widgets

Tuesday, February 12, 2013

LULU SOON KUFANYA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHI




Msanii wa Bongo Movie maarufu kama Lulu zimepita siku chache toka apate dhamana ya kuingia uraiani.
 theHOODinfotainment ilipata nafasi ya kupiga story na Dr Cheni ambaye ni mtu wa karibu sana na lulu,akasema kwamba kwa sasa wanachopanga ni kufanya Press Conference kati ya Lulu na waandishi lakini hakuweza kusema ni siku gani ila alimalizia kwa kusema watu wakae tayari kwa Press Conference hiyo.@info by Dr Chenn.

0 comments:

Post a Comment