No. Jenifer Lopez
Anautajiri
wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na
uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada
maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile
nafasi ya kwanza kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood.
Inarepotiwa kuwa mataka yake ameya weka bima ya dola milioni $27.
Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake hiyo kwenye magazines cover ya
Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo ni moja ya magazine iliyoweka histori
ya rekodi ya gazeti lilouza kuliko. Kiukweli hilo tako limegharimu
maelfu ya dola na sio chini ya hapo. Matako mengine ya nakuja na
kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila kitu kulinda tako lake. Lol
No.2 Kim Kardashian
Anautajiri
wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake
umetokana , umodel, uigizaji, mwanamkemfanyabiashara, Television
Personality, na socialite. Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke
mwenye Tako kubwa Hollywood, nalilionekana sana kwenye s*x tape ambayo
alikuwa nimmoja ya maboyfriend wake maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa
matako yake ni yakutengeza lakini yeye alikataa akasema no way its real.
3. Beyonce.
Anamiliki
utajiri wa dola milioni $300 milioni. Jinsi gani alivyotengeneza
utajiri?? Dada huyu anaingiza pesa zake kwa kuwa muandishi mzuri wa
nyimbo, rekodi Producer, muigizaji, umodel, mvumbuzi wa mavazi, na ni
mfanyabiashara. Anajiita “b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” . Nahuyu anachukua
nafasi ya 3 kwa kuwa na matako makubwa Hollywood
No. 4 Serena Williams
Anautajiri
wa dola miliobi $85, nautajiri wake unatokana na uchezaji wa Tennis as
Professional. Na nimaarufu kwa kwa kuwa na tako kubwa kwenye tennis,
lakini kutoka kwa serena mwnyewe anasema kuna mwanamke mwenye matako
makubwa kuliko yangu huko nje nikisimama nae ni aibu tu.
No. 5 Nicki Minaj
Anautajiri
wa dola milioni $14 ambao umetokana na uandishi wa mistari yake na
rapa, mwanadada huyo anapenda sana kuongelea kuhusu tako kila wakati,
hata kwenye interview iliotokea New York post Nicki Minaj alikuwa
anaongela kuhusu ruma za utengezaji wa matako yake. “absolutely not”
said Nicki Minaj alipokuwa anaulizwa kuhusu matako ya kutengeneza ,
“people will pick anything to talk about , and that happens to be the
thing at the moment’’. Alisema Nicki Minaj.
No.6 Vida Guerra
Anautajiri
wa dola milioni 2.5 na amazitengeza kupitia kazi yake ya umodel. Wakati
hajulikani kama wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, Nyuma kwa
Vida kunamilikiwa na dunia, alishinda FHM’s Best B*tt , kwenye the world
award na sio mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini
anajivunia kwa kujilikana kwa umbo la mwili wake. Kiukweli ameshinda
tuzo ya best b*tt mara mbili .
No.7 Nicole “Coco” Austin
Anautajiri
wa dola milioni 4 kutokana na umodel, reality Tv Personality , web
personality. Hakuna wasi wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco
Austine anajivunia mwili wake sana. Anapenda kupost picha za makalio
yake sana kwenye Twitter,
No.8 Buffie Carruth
Buffie
Carruth vile vile anajulikana kwa jina la Buffie The Body or simply
Buffie, ni model kutokea Athens, Georgia anajulikana kunekana kwenye
posing za hip hop zinaendana na magazine na kuonekana kwenye video za
hip hop. Shukuru kwa model kama Buffie The Body the Big Booty” comple
imefagia Us nzima nao inelekea to getting out of control.
No.9 Jessica Biel
Anautajiri
wa dola milioni $ 18 , amepatamafanikio hayo kwa kuwa muigizaji, model
na mwimbaji , anachukua nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa
wanawake maarufu. Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto wakike wa
muhubiri. Lakini umaarufu wake ulitoke bada yakupiga picha ya utupu
kwenye Gear Magazine akiwa na umri wa miaka 17.
10. Sofia Vergara
Anamiliki
utajiri wa dola milioni 14, na utajiri huo unatokana na uigizaji,
modeling , mtangazaji wa television na mjasiriamali. Ni muigiza wa
modern family amefungasha kila mahali. Ni mdada mwenye kipaji, mzuri na
ana makalio mazuri yenye mvuto sana. Ame shikilia namba tatu kwenye
Askmen.com 99 Most Desirable Women wa 2011
0 comments:
Post a Comment