Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Thursday, January 31, 2013

NIKKI MBISHI AWAKERA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUWEKA PICHA KATIKA MTANDAO

Msanii wa Hip Hop maarufu kama Nikki Mbishi leo jioni baada ya kuweka picha ambayo iliweza kukera watu wengi  huku wengine wakijiuliza maswali mengi juu ya picha hiyo lakini hawakuweza kupata jibu juu ya picha hiyo kwamba alikuwa anamaanisha nini. ...

SUMA LEE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

suma lee    Ikiwa ni takribani miezi 9 tangu afiwe na mama yake mzazi kwa ugonjwa wa kiharusi katika hospitali ya Muhimbili,,msanii Suma Lee, anaeiwakilisha Tanga vizuri, leo hii, saa moja lililopita ameandika kupitia ukurusa wake wa facebook, kuhusu kifo cha baba yake mzazi anaeiitwa Sadiki Iddi.    "BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA...

#BREAKING: TAARIFA KUHUSU JAHAZI LILILOZAMA NUNGWI LEO JANUARY 31 2013 LIKIWA NA WATU 32 IKO HAPA

Ajali ya Nungwi september 2012. Taarifa zilizo kwenye headlines wakati huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo Sunrise likitokea  Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32 ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku zote. Namkariri Kamanda wa Polisi Zanzibar akisema “tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima na hakuna maiti iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye chombo...

PICHA ZA NGONO ZA ARNOLD SCHWARZENEGGER ZAELEKEA KUFIKIA DOLA 150,000

This summary is not available. Please click here to view the po...

WEMA:MAPENZI YAMEAMIA KWA CK BAADA YA DIAMOND KUMZIGUA

                                Zimepita siku chache tu baada ya Diamond ku post picha akiwa amelala na Penny mpaka kupelekea watu wengi kuzungumzia picha hiyo ambayo ilileta utata,sasa nyingine mpya hii hapa kutoka kwa Wema Sepetu akiwa na CK.                       ...

Wednesday, January 30, 2013

MUIGIZAJI MATUMAINI ANA HALI MBAYA NCHINI MSUMBIJI ANAHITAJI MSAADA WA HARAKA

Mchekeshaji na muigizaji maarufu Tanzania Tumaini Martin maarufu kwa jina la Matumaini anaumwa na ana hali mbaya sana chini Msumbiji na inasemekana amevimba miguu na tumbo na mwili mzima kukosa nguvu, hivyo msanii huyo anahitaji msaada wa haraka ili apate nauli ya kurudia nchini na kuja kupata matibabu.Taarifa rasmi kutoka kwa mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa Mike Sangu zinasema "msanii mwenzetu matumaini bado anaumwa sana na bado...

JUSTIN BIEBER AMPAPASA MAZIWA SHABIKI WAKE WAKATI WA MEET AND GREET

  anaonekana slow by slow akiupa mgogo u good boy aliokuwanao kama kijana mdogo tangu aingie kwenye game ya mziki. na sasa Bieber mwenye miaka 18, anaonekana kuendelea kuvuka mipaka zaidi na zaidi hasa upande wa mashabiki wake. baby boy hit maker ameonekana akiopapasa nyonyo ya shabiki wakati wa  "meet and greet session, Miami siku ya juma tatu.kilichoshangaza zaidi ni pale ambapo watu walidhani shabiki huyo atashtuka au...

members wawili wa kundi la waturutumbi wapo dar kufanya ngoma zao

  members wawili wa kundi la waturutumbi wapo dar kufanya ngoma zao binafsi na moja ya kundi ni docca na head fire ambapo watapita fish crab,one recors na halisi records.  Wakikamilisha ngoma hizo kupitia theHOODinfotainment utazipata hapahapa soon, huu ndio ujio mpya wa mwaka 2013 WATURUTUMBI wakiwa chini ya mtu mzima Stoppa wanavyo kwa kukamilisha ngoma zao tofautitofauti za kundi na mtu mmojammoja kutoka katika kundi hilo. ...

KUPITIA MITANDAO WALICHOKIANDIKA MASHABIKI BAADA YA LULU KUINGIA URAIANI

  Lulu baada ya kuachiwa Uhuru kwa dhamana sasa kupitia katika mitandao ya facebook kulikuwa na maoni mbalimbali ya watu wakizungumza juu ya Lulu kuingia kitaani.   ...

HAYA NDIO MANENO ALIYOYASEMA MWIGIZAJI LULU NJE YA MAHAKAMA KUU, UNAWEZA KUSOMA HAPA

. January 29 2013 ndio msajili amethibitisha kwamba mwigizaji Lulu ametimiza masharti yote ya dhamana juu ya kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia. Lulu na mama yake mzazi wote kwa pamoja waliangua vilio baada ya dhamana yao kukamilika wakati wakiwa nje ya Mahakama kabla ya kuondoka na Lulu kuingia uraiani. Haya ni maneno ya Lulu aliyoyatoa akiwa analia…. “Nawashukuru watu wote na nilikua naomba watu waendelee kuniombea...

Monday, January 28, 2013

USIKU WA DIAMOND PLATNUM ULIVYOKUWA NI BALAA..PENNY NAYE ALIKUWEPO.DUH DIAMOND NI NOUMER MAZEE

Wasafi Dancers wakiwa Ready for Show......!! Romeo J akiwa na Mama Naseeb in da House...!! Penny & Halima walikuwepo kufanikisha usiku wa Diamond Platnumz unakuwa usiku wa Kukumbukwa Kigamboni..!! From Left Dulla,Casto Dickson,Penny,Esma Platnmz & Dallas the Boss.....walikuwepo kutoa support...!! Halima Kimwana Along side with Mama Naseeb & Penny Mungilwa Hapa...