Blogger Widgets

Thursday, January 24, 2013

HUYU NDIO YULE MBUNGE SHAROBARO WA KENYA

Sonko.

Huyu ndio yule mbunge sharobaro wa Kenya, umaarufu wake umeongezeka kutokana na usharobaro wake ambao unamfanya mpaka avae hereni na kudunda mtaani kama kawa.
Nakumbuka 2012 moja kati ya stori nilizoziona kwenye TV za Kenya ni wakati alipoamriwa kutoka nje ya jengo la bunge baada ya kuingia akiwa amepiga suti fresh lakini masikioni anazo hereni.
Ukimkuta kwenye mitaa huwa anatupia pamba sio kitoto, na ni rafiki wa wasanii pia nakumbuka hata Z ANTO wakati yuko juu kipindi kile na single ya binti kiziwi, huyu Sonko alimpatia gari la kifahari kutembelea Kenya akiwa na mlinzi pembeni.

0 comments:

Post a Comment