Blogger Widgets

Tuesday, January 15, 2013

VIDEO MPYA YA NAY WA MITENGO KUFANYIKA MAKABURINI "WAMENICHOKOZA"

 

 Msanii rapper wa Bongo Fleva maarufu kama Nay wa mitengo baada ya kutoa ngoma yake inayofahamika kwa jina la Wamenichokoza sasa siku za hivi karibuni ndiyo alikuwa akifanya video ya ngoma hiyo na video hiyo amefanyia maeneo ya makaburini.Kwa hiyo wale mashabiki wa Nay kaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa Nay.

0 comments:

Post a Comment