Blogger Widgets

Friday, January 25, 2013

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONESHA MUONEKANO WA UKUMBI AMBAO SHOW YA KIHISTORIA NDANI YA CHUO CHA ajtc KATIKA MAANDALIZI

hii ndio stage kwa mbele itakayotumika kwa baadhi ya matukia kama vile AJTC dancez watakavyokuwa wakifungua show, (hapa stage ilikuwa bado haijapambwa na mapambo mbalimbali kama disco light na vitu vingine kama hivyo)

huyu hapa ndio DJ Stone ambaye atatuonesha mikono yake ilivyo michafu, kuanzia mwanzo wa show mpaka mwisho, hapo alikua katika tym yakurekebisha sound ikae poa.

kwa wale raia ambao watakua wanahitaji vinywa tofauti wametengewa Counter yao special ambayo haitakuwa inahudumia wateja wengine zaidi ya wanachuo wa AJTC


yes katika suala la msosi sasa ambao watakua wanahitaji nyama choma   wametengewa pia sehemu yao special ambayo haitakuwa inahudumia wateja wengine zaidi ya wanachuo wa AJTC

 show yakihistoria ambayo itajengeka katika chuo cha Uandishi wa habari na utangazajia Arusha muda mchache kutoka hivi sasa, maandalizi yakiwa yanaendelea, kwa wanafunzia/wadau wote wa AJTC ambao uwezekano wakufika umeshindikana bado pia tutakuwa tunatambua mchango wenu kiujamla. Kupitia the HOOD infotainment tutawaletea picha zenye matukio mazima kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.


KUMRADHI, PICHA MNAZOZIONA HAPO JUU NI PICHA AMBAZO TULIZIPIGA MAJIRA YA SAA SITA MCHANA HII LEO, ILA KUTOKANA NA MATATIZO YALIYOKO NJE (umeme kukatika) YA UWEZO WETU TUKASHINDWA KUZIPULISH.





0 comments:

Post a Comment