Blogger Widgets

Friday, January 11, 2013

BAADA YA Isaack Waziri Lord Ez KUBADILISHA PROFILE PICTURE KATIKA ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK HII NDIO BERO ALIYOPIGWA NA Peter Tosh Ilanda FUNS WAKE WAKARIBU

Peter Tosh Ilanda Wanalazimisha bif na mm Izy
nimekua kama chati cku hz
heshima kwanza halaf pesa inafuatia
ntaishi vp bla pesa pande hz
angalia nicje kukufanyia nilichomfanyia

flani nae muulize kuhusu pande hz
cdhani kama wale machizi wana akili ya kupiga dili
ni ukweli m2pu wameshindwa kuhimili mishe mishe za mjini na watt wa kiuni
mi ni real mc ucnipime utaingia taabuni
ckufuatilii ila mwsho wako naujua
kila unachoongea mtaani pembeni mi
unataka kushindana mm ntakukata kama miwa....
Pande hz hautoboi machizi 2kitimba hao matonya hawakohoi..

0 comments:

Post a Comment