
mrembo huyu
ni mmoja wa watuhumiwa wa kesi hii ya wizi wa mtandao baada ya kutumia
kitambulisho chake na kutaka kuja kurudisha line ambaye sio yake kwa
kuahidiwa kupewa pesa kidogo kama ujira wake na katika melezo yake
akasema hawatambui wahusika wenzake kwani amekutana nao tu sinza na
wakampa dili hilo na kuamua kuchukua bajaji ambao iliwaleta mpaka ofisi
za tigo buguruni rozana

huyu ndio staring mwenyewe
aliyechonga mchongo wote na kumshawishi huyu mwanamke kutumia
jkitambuluisho chake kufanyia wizi huo wa kimtandaO

mrembo akijitetea kuwa hahusiki kabisa katika wizi huu na pia kujitetea kuwa kaacha mtoto mdogo nyumbani

hapa ni mmoja wa watuhumiwa
akitoa maelezo kuwa yeye si mwizi na hafahamu kabisa wahusika wenzake na
yeye ni mfanyabiashara wa vipodozi

watuhumiwa wenzake wakificha
sura zao huku wakitoa maelezo kwa wafanyakazi wa tigo na walinzi
waliowatia chini ya ulinzi baaada ya kuweka mtego mzuri wa kuyanasa
mataperli haya ya kimtandao

hiki ndio kitambulisho
alichoktaka kutumia huyu mwanamke kuswap line ambayo sio yake lakini
aliweka jina la mhusika wa line na namba alizokuwa anapiga maranyingi
lainmi sura yake bahati mbaya kwa umakini wa mfanyakaiz mmoja wa tigo
kwa jina octavian rweyendera alifanikiwa kubaini udanganyifu huo na
kuamuru awekwe chini ya ulinzi mara moja

aliyesimama
hapo yeye alibiwa kiasi cha milioni moja kwa njia ya sim banking ya NMB
baada ya line kuharibika ghafla kumbe mmoja wa watuhumiwa alirenew na
kuiba pesa

hiki pia ni kitambulisho cha
mteja huyo hapo juu aliyeibiwa pesa kwenye acount yake ya NMB kiasi cha
milioni moja kwa njia ya sim banking baada ya mmoja wa hawa watuhumiwa
kuja kurudisha yake hii kwa kutumia kitambulisho hiki ambacho
kimetengenezwa kwani si halisi na hatimaye kufanikiwa kuiba pesa kwa sim
banking baadae






0 comments:
Post a Comment