Endapo utafanikiwa
kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi
utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10.
Samaki huyu
atakurudishia uwezo wako wa zamani kabla mambo hayajaanza kukuharibikia,
tena dawa hii ni salama kwa kuwa ni kama chakula tu.
Mtaalamu wa mapishi
kutoka Culinary Chamber kwa moyo mkunjufu ameamua kushare nasi habari
hii njema. Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa? Unakosa kabisa
hamu ya kufanya tendo la ndoa? Perfomance imeshuka? "Basi tatizo lako ni
'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi.
Testosterone
ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi wa mwanaume,
inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo la
ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and
strength,
Testosterone
inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume wakati wa
adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa
pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila
mwaka. Kukosa ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa na stressau
mzongo wa mawazo ya maisha, mlo usio kamili, obesity na sababu nyingine.
Inaposhuka ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu
za tendo la ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata
kufanya tendo chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha
mwezi wako.
Oysters wana Protein, magnesium na madini ya zinc kwa
wingi sana kuliko chakula chochote duniani, ambayo zinc hiyo inasaidia
sana kuongeza testosterone, kukuimarisha na kukuza misuli katika mwili,
ukakamavu wa hisia za kimwili na kuzalisha manii ya kutosha (sperm). Chakula kingine chenye zinc nyingi kinachoweza kukusaidia ni maini ya kuku na mbegu za maboga.
Juu, ni hatua za kumwandaa samaki huyo
Unaonahiyo nyama baada ya kumfunua samaki huyo
Mtaalamu anasema
ukiona kinyaa wakati wa kumla, basi weka chumvi na limao kisha umle
taratibu, lakini pia unaweza kumwagia balsamic vinegar au siki kuongeza
ladha.
Dozi: vipande
viwili au vitatu vinatosha kabisa kwa dozi moja na inashauriwa kula mara
moja kila baada ya wiki moja. Kama kumla akiwa mbichi inakupa tabu basi
nunua wale wa kwenye makopo au wa kuchemsha lakini chonde chonde usile
wale wa BBQ au wa kukaanga. Baada ya kazi muulize wife atakupa majibu!!!
Chanzo: activechef
0 comments:
Post a Comment