10th September
Haijalishi ni miaka mingapi tumetimiza iwe ni michache au mingi ila wa
kushukuriwa ni yule atupaye pumzi na kutufanya tuendelee kuziona siku
mpya katika maisha yetu.
Nimeona nipate kushare nanyi siku hii muhimu kwangu kwa kuwashukuru wote ambao wamehusika katika maisha yangu ambapo kwanza kabisa kwa muumba kwa kunifanya niione tarehe 10 mwezi wa tisa kwa miaka ishirini sasa. Pili mama yake na mimi (Mama yangu) Mrs Wales alafu tatu kwa watu wote wa karibu, marafiki ambao wengi wao sasa ni zaidi ya ndugu, kaka na dada pia walimu na wanafunzi wenzangu katika level zote za elimu nilizopitia kwa mchango wao wote kufikia nilipo.
Sijakusahau pia wewe unaesoma ujumbe huu uliyeifanya na uliyemfanya Nolniz kuwa Nolniz....
Mbarikiwe sana.

Norlens Wales / Nolniz
nolniz@yahoo.com
0754773459
BLOGGER: http://nolniz.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment