Nilipopata taharifa za Msiba Huu.....Nilishitushwa sana.....
lakini kadri muda ulipokuwa unazidi kwendandio imani ikazidi kuniingia moyoni kuwa kweli bibi yetu
kipenzi,Legendari wa muziki wa tanzaniaatunae tena dunia....Nilisikitika sana na majonzi tele
yalitawala moyoni mwangu......Nilikuwa nipo nyumbani nikijianda na safari yangu ya kwenda
Mkoani lakini nilihairishana kuamua lazima nikamzike bibi,Japo mkoani...