Blogger Widgets

Monday, April 22, 2013

HIVI ULISHAZIONA PICHA NYIIIINGI! ZA SAFARI YA DIAMOND KUTOKA DAR KWENDA ZANZIBAR MSIBANI WA BI KUDUDE? ANGALIA HAPA HOUNE ILIVYOKUWA

Nilipopata taharifa za Msiba Huu.....Nilishitushwa sana..... lakini kadri muda ulipokuwa unazidi kwenda
ndio imani ikazidi kuniingia moyoni kuwa kweli bibi yetu 
kipenzi,Legendari wa muziki wa tanzania
atunae tena dunia....Nilisikitika sana na majonzi tele

 yalitawala moyoni mwangu......
Nilikuwa nipo nyumbani nikijianda na safari yangu ya kwenda

 Mkoani lakini nilihairisha
na kuamua lazima nikamzike bibi,Japo mkoani kulikuwa na 
maswala ya kazi....kama kioo cha
jamii lazima nioneshe mfano......Jana asubuhi ya tarehe 18 mwezi wa 
4 niliamka asubuhi na
mapema kuanza safari yangu kuelekea kisiwani Zanzibar.....
Sikuwa pekee yangu kwenye msafara huo
Niliongozana na dada yangu kipenzi Halima kimwana na Ndugu

 yangu wa karibu na Promota Nguli
barani Afrika Hamisi Tale a.k.a Babu Tale....
kwenda kumzika Bi kidude.......

Zifuatazo ni Picha wakati nikiwa Njiani kuelekea Zanzibar Mpaka kuwasili....!!



















Tukiwa tumewasili salama salimini Zanzibar kwa uwezo wa mwenyezi mungu......



kama msanii nilipowasili nilipokea simu kutoka kituo kimoja cha redio
mjini zanzibar kwenda kuongea dhamira yangu kuwepo zanzibar kwenye msiba huo.....


Baada ya kutoka kwenye mahojiano kwenye studio....Nilifarijika sana kukutana na
Producer Nguli Nchini Tanzania...G Love But I call Him Dad G....LONG TIME
Na yeye ndie aliekuwa Mwneyeji wetu kwa siku hii...

Baby J msanii kutoka zanzibar.....pia alijumuika na sisi kama mwenyeji wetu...

Kutokana na kuwahi safari....tulichelewa kupata kifungua kinywa tukaona isiwe mbaya
kabla ya kwenda kweye mazishi tukipata kifungua kinywa....!!

0 comments:

Post a Comment