Blogger Widgets

Tuesday, April 9, 2013

Lady Jaydee kufanya tukio kubwa katika historia ya maisha yake kimuziki

Lady Jaydee
“Wapenzi na mashabiki wa LADY JAYDEE hii ni kwaajili yenu, tarehe, muda na sehemu mtapatiwa taarifa siku si nyingi.. Tunahitaji support yenu itakuwa ni zaidi ya ileeeeeee ya miaka 10 ya JIDE..Hutakiwi kuikosa, iweke akilini na ujiweke tayari,” ameandika Lady Jaydee.
Miaka 13 ya Lady Jaydee kwenye muziki hakuna shaka itakuwa bonge moja la concert.

0 comments:

Post a Comment