Blogger Widgets

Monday, April 8, 2013

ANGALIA HAPA JINSI LULU ALIVYOTEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NA KUKUTANA NA MAMA KANUMBA.


Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki

Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba

Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo

O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu.


Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua

Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae

Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.


Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni

Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,

R.I.P Steven Kanumba

source: jestina-george.com

0 comments:

Post a Comment