Blogger Widgets

Monday, April 22, 2013

Video ya ‘Sio Mimi’ ya Madee inachochea usagaji? Tazama picha za utata hapa

Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wa Madee ‘Sio Mimi’ hatimaye imetoka. Ni video kali lakini ina tatizo moja. Ingia ndani kuona ni lipi.
Ndani ya video hiyo kuna sehemu inayoonesha wasichana wakinyonyana ndimi na hivyo kuchochea masuala ya usagaji. Sehemu hiyo inaweza kuchangia video hii kupigwa vita.
madee 2
Picha za wasichana wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
Picha za wasichana wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
 

0 comments:

Post a Comment