Blogger Widgets

Friday, April 12, 2013

WHITE HOUSE YAMKANA JAY Z, HUENDA AKAENDA JELA YEYE NA BEYONCE. HIKI NDO WALICHOKISEMA


Hivi karibuni Jay Z na Beyonce walisafiri kuelekea Cuba kusherekea miaka mitano ya ndoa. Jay Z amekuwa akisumbiliwa sana na waandishi wa habari kuhusu kibali chake cha kwenda cuba.
Jay Z aliamua kutoa nyimbo mpya inayoitwa “open letter” ili kutoa maelezo vizuri kwa watu wote kuhusu kibali chake cha kwenda cuba.

Kwenye nyimbo hiyo hapo juu rapper huyo alisema “I done turned Havana into Atlanta. Boy from the hood, but got White House clearance.
Obama said ‘chill you gon’ get me impeached. You don’t need this shit anyway. Chill with me on the beach.’”

White House wamemjibu Jay Z na kusema kwamba
“Treasury offers and gives licenses for travel as you know and the White House has nothing to do with it.
I am absolutely saying that the White House from the President on down, had nothing to do with anybody’s travel to Cuba. That is something The Treasury handles.”

MWANZO: www.bongoclantz.com

0 comments:

Post a Comment