
UKWELI JUU YA MAISHA HALISI YA DIAMOND WAANIKWA ... NI HUU HAPA
Written By Emmanuel Shilatu on Saturday, September 28, 2013 | 9:25 PM
Mdogo wa Diamond ameamua kumuumbua kaka yake.Kayaanika maisha yake yote tangu akiwa underground hadi star...Dodo anadai Diamond alikuwa ni muuza supu ya ngozi, mswaki alikuwa anapiga mara moja kwa wiki...Inadaiwa Diamond alikuwa ni mnywa Gongo, chokoraa na mengine kibao...