Blogger Widgets

Tuesday, September 10, 2013

Baada ya fujo zilizotokea Bungeni hiki ndicho alichokipanga kukifanya Joseph Mbilinyi aka Sugu mkoani Kwake Mbeya:SOMA HAPA ZAIDI

#Bongo255:Baada ya fujo zilizotokea Bungeni hiki ndicho alichokipanga kukifanya Joseph Mbilinyi aka Sugu mkoani Kwake Mbeya...!!!!!!

Huu ndio ujumbe wake#Jumamosi hii nitakuwa home mbeya, nitawahutubia watu wangu ambao kimsingi ndio walionituma ili niwaelezee udwanzi wa ndugai na kilichotokea...

0 comments:

Post a Comment