Blogger Widgets

Monday, September 9, 2013

PICHA "DUNIA AINA HURUMA" BAHATI BUKUKU AFANYA UZINDUZI JANA


 
David Robert akifurahia jambo na Mch Florian Katunzi wakimsubiri mgeni rasmi.
Hatimaye siku ya jana katika viwanja vya Sabasaba (PTA) Bahati Bukuku amefanya uzinduzi wa Dvd yake iliyokua ikisubiriwa kwa muda mrefu 'Dunia aina huruma' uzinduzi huo ukiwa umeongozwa na Mbuge wa Munduli Mh Edward Lowasa huku maelfu ya watu wakiwa wamejitokeza kumpa support ya nguvu Mama Bahati Bukuku.Ukiacha maelfu ya watu waliojitokeza waimbaji wa mziki wa injili walikuwepo kama Christina Shusho,Boni mwaitege,Mwasabite,Jennifer Mgendi,David Robert na wengine wengi.Uzinduzi ulianza saa nane mcha na kumalizika saa moja kasoro.
Mh Mbuge wa Munduli Edward Lowasa akiwasili viwanja vya sabasaba.
Akito salamu kwa maelfu ya watanzania  
 
Bahati Bukuku akizindua dunia aina huruma. 
Mama na kati ya Tabata migombani akifanya kweli siku ya jana.
Kitu nyomiii.
 Hapana chezea bure wewee!
Mgeni rasmi akisomewa Lisala.
Mh Lowasa akikabidhiwa Dvd ya dunia aina huruma.
Dvd ikazinduliwa rasmi na mh Lowasa
Sikiliza alichosema Mh Lowasa.


Boni Mwaitege kuonyesha love kwa Dada yake Bahati Bukuku ali nunu dvd hii kwa shilingi Milioni Mbili.
Mh Lowasa akiteta jambo na Bahati Bukuku.
Twende kazi Bahati Bukuku+Boni Mwaitege.Ilikua pouwa sana
Asante mc wa Event Silas Mbise na Ritha Chuwalo kwa kufanya kweli siku ya jana.Blog inawapa big up!!

0 comments:

Post a Comment